• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
Chunya District Council
Chunya District Council

jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Chunya

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • muundo wa Taasisi
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Idara
      • Utumishim na Utawala
      • Mipango,ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Utawala, Mipango
      • Afya, Elimu, Maji
      • Maadili
      • Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao
      • Mwenyekiti kuonana na Wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ambayo haijakamilika
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu wa kufuata
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu za maombi
  • kituo cha habari
    • taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba mbali mbali
    • Maktaba ya picha
    • matukio mbali mbali
    • Habari

Uchaguzi

KITENGO CHA UCHAGUZI.

Kitengo hiki ni miongoni mwa vitengo sita katika muundo mpya wa Serikali za mitaa uliohuishwa mwaka 2011.

Kitengo kinapaswa kuwa na watendaji wa siku kwa siku watatu (03), lakini kutokana na uhaba wa watumishi mpaka sasa yupo mtumishi mmoja ambaye ndiye mratibu mkuu wa masuala yote ya Uchaguzi Wilayani.

Ili kurahisisha shughuli zake hasa kipindi cha uchaguzi, hufanya kazi kwa kushirikisha watendaji wa Idara mbalimbali ikiwa ni pamoja na watendaji wa kata zote na vijiji.

MAJUKUMU YA MKUU WA KITENGO.

  1. Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji Wilaya kwa shughuli zote zinazohusu uchaguzi Wilayani.
  2. Kuhakikisha kuwa shughuli za Uchaguzi zinatekelezwa kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali itolewayo na mamlaka husika.
  3. Kufanya mawasiliano na mamlaka husika kuhusu ujazaji wa nafasi wazi zinapojitokeza kwa viongozi wa kuchaguliwa.
  4. Kutunza kumbukumbu mbalimbali zinazohusa chaguzi, zikiwemo za vijiji, kata na hata Jimbo.
  5. Kushughulika na utatuzi wa kero mbalimbali zinazohusiana na masuala ya uchaguzi kwa viongozi wa vijiji na vitongoji.
  6. Kutoa elimu kwa viongozi wa kuchaguliwa kuhusu wajibu na majukumu yao ya kila siku.
  7. Kuwa kiungo kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Halmashauri ya Wilaya kuhusu masuala yote yanayohusu chaguzi na viongozi wa kuchaguliwa.
  8. Kutekeleza majukumu mengine toka kwa Mkurugenzi Mtendaji au Afisa mwingine kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

                                                        soma zaidi uchaguzi.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 01, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA December 05, 2019
  • WANANCHI MNAASWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUUPOKEA NA KUUKIMBIZA MWENGE WA UHURU. May 19, 2018
  • MAPENDEKEZO YA SHERIA NDOGONDOGO WILAYA YA CHUNYA. February 05, 2018
  • Zaidi

Habari Mpya

  • TAZAMA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021

    December 18, 2020
  • WATAKAOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 WATANGAZWA

    December 17, 2020
  • TUME YA TAIFA YA UCHAGUZIi (NEC) YAPOKEA PINGAMIZI 557 YA UBUNGE NA UDIWANI

    September 02, 2020
  • HII NI KWA WAZABUNI WOTE WILAYA YA CHUNYA NA MBEYA KWA UJUMLA

    May 05, 2020
  • Zaidi

Video

MRADI WA BWAWA LA MATWIGA
video zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • HATUA ZA KUANZISHA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • FOMU ZA HUDUMA MBALIMBALI

Tovuti Nyingine Tunazohusiana

  • OR-TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sheria ya Serikali Mtandao kwa ujumla
  • MKOA WA MBEYA
  • WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  • WAKALA WA SERIKALI MTANDAO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

wasiliana nasi

    Itigi Road

    sanduku la posta: P.O box 73 Chunya

    simu ya mezani: 025 2520121

    simu ya mkononi: 0759280319

    Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera binafsi
    • kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.