Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Katiba ya mwaka 1977 ina utaratibu wa kufanya chaguzi kila baada ya miaka mitano ambapo kwa Serikali za Mitaa uchaguzi wa awali ulifanyika mwaka 2019 na miaka mitano inahitimishwa hivi karibu hivyo tayari uchaguzi imeitishwa na utafanyika 27/11/2024
Kuelekea uchaguzi huo taratibu, maelekezo na mambo mbalimbali yanaendelewa kutolewa ili wananchi wa Tanzania waelewe na waweze kutumia haki yao ya kikatiba kwanza ya Kuchagua viongozi wanaowataka na hata wao wenyewe kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwaongoza wengine kulingana na sifa, vigezo na maelekezo yanayotolewa.
Kujua Sifa, vigezo na Maelekezo mengine ponyeza kiunganishi kifuatacho
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.