Kazi za kila siku.
Idara ya Elimu Msingi inatekeleza majukumu mbalimbali ya kila siku kama ifuatavyo: -
Kuratibu uhamisho wa wanafunzi wanaohama na kuhamia katika shule zetu zote 75 za Msingi zilizopo Wilaya ya Chunya kwa njia ya mfumo wa PReM
Kusimamia utekelezaji wa majukumu ya kila siku kwa Maafisa Elimu Kata, Walimu wakuu,na Walimu kwa ujumla kwa kuzingatia sera na miongozo ya Elimu.
Kusimamia matumizi sahihi ya fedha za ruzuku za uendeshaji wa shule (Capitation) pamoja na fedha za miradi na kuhakikisha malipo yote yanafanyika kimfumo (FFARS) kwa mujibu wa miongozo ya fedha inayotolewa, na kuhakikisha kila shule inafunga taarifa za mwezi (reconciliation) kwa wakati.
Kupokea, kusikiliza, na kushauri/kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali za walimu pamoja na jamii zihusuzo Elimu kadri iwekekanavyo.
Kutoa ushirikiano kwa Idara, vitengo na taasisi mbalimbali kwa masuala yote yahusuyo Elimu ya Msingi kila yanapohitajika.
|
Waliosajiliwa |
Waliofanya |
Waliofaulu |
Asilimia % |
Nafasi Kimkoa |
||||||
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
was
|
Jumla |
|||
2019 |
1367 |
1556 |
2923 |
1246 |
1485 |
2731 |
1150 |
1343 |
2493 |
91.29 |
2/7 |
2020 |
1757 |
1943 |
3700 |
1539 |
1816 |
3355 |
1391 |
1668 |
3059 |
91.18 |
1/7 |
2021 |
1867 |
2125 |
3992 |
1693 |
2028 |
3721 |
1465
|
1819
|
3284
|
88.3
|
3/7
|
Mwaka
|
Waliosajiliwa |
Waliofanya |
Waliofaulu |
Asilimia % |
Nafasi Kimkoa |
||||||
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
Was |
Jumla |
Wav |
was
|
Jumla |
|||
2019 |
2978
|
3085 |
6063
|
2729 |
2736 |
5465 |
2543 |
2642 |
5185 |
94.88 |
3/7 |
2020 |
4093 |
3731 |
7824 |
3121 |
3131 |
6252 |
2944 |
3011 |
5955 |
95.25 |
1/7 |
2021 |
3657 |
3501 |
7158 |
2963 |
3055 |
6018 |
2556
|
2752
|
5308
|
88.2
|
|
MATUMIZI YA KALENDA ZA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI
KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022.doc
CURRICULUM IMPLEMNETATION CALENDAR FOR LANGUAGE SUBJECTS 2022.docx
CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR TECHNICAL SUJECTS 2022.docx
CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR SOCIAL SCIENCE SUBJECTS 2022.docx
CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR NATURAL SCIENCE SUBJECTS 2022.docx
CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR BUSINESS SUBJECTS 2022.docx
CURRICULUM IMPLEMENTATION CALENDAR FOR AESTHETICS SUBJECTS 2022.docx
Itigi Road
sanduku la posta: P.O box 73 Chunya
simu ya mezani: 025 2520121
simu ya mkononi: 025 2520121
Barua pepe: ded@chunyadc.go.tz
Copyright ©2017 Chunya District Council . All rights reserved.